Haya ndiyo maeneo utakayokutana na uzushi mwingi mtandaoni

February 20, 2023 6:27 am · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Wanaotengeneza habari za uzushi na kusambaza mtandaoni hutumia afya kuwaletea watu madhara ikiwemo utapeli. Kwa sasa ugonjwa wa Uviko-19 umekuwa miongoni mwa majanga ambayo watu huyatumia kubuni na kusambaza habari za uongo ili kuzidisha madhara ya ugonjwa huo.

Maeneo yanayotumiwa zaidi kwa ugonjwa wa Uviko-19 kusambaza habari hizi ni haya hapa:

Enable Notifications OK No thanks