Fanya haya kulinda afya ya akili wakati wa janga la Uviko-19

February 22, 2023 1:55 pm · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho ulimwengu unakabiliwa na ugonjwa wa virusi vya corona, ni rahisi sana kwa baadhi ya watu kupata changamoto za afya ya akili ikiwemo msongo wa mawazo na sonona.


Zifahamu mbinu za kukabiliana na changamoto hizo:

Enable Notifications OK No thanks