Wazawa, wageni wanavyochuana kuitembelea hifadhi ya Ngorongoro

February 6, 2020 11:16 am · TULINAGWE ALSON
Share
Tweet
Copy Link
  • Licha mchuano huo, bado watalii kutoka nje ndiyo wanaongoza kutembelea hifadhi hiyo.
  • Hifadhi hiyo iko mkoani Arusha ikiwa na ukubwa kilomita za mraba 8,300.

Dar es Salaam. Watalii kutoka nje na ndani ya Tanzania wanaotembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro wameendelea kuchuana huku wageni kutoka nje wakionekana kutembelea kwa wingi ukilinganisha na wazawa.

Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 kilichotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kinaeleza kuwa jumla ya watalii kutoka nje waliotembelea Ngorongoro  mwaka 2018 walikuwa 410,574 ikilinganishwa na wazawa 268,880.

Hifadhi hiyo iliyopo mkoani Arusha ikiwa na ukubwa kilomita za mraba 8,300 imekuwa kiungo muhimu kwa shughuli za utalii nchini Tanzania kutokama na vivutio vya asili kama wanyama na mimea inayopatikana ndani yake. 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Ujumbe mzito wa Dk. Tulia Ackson kuhusu usawa akiaga urais wa IPU

Ujumbe mzito wa Dk. Tulia Ackson kuhusu usawa akiaga urais wa IPU

Nukta TV

IPU 153 yafungua fursa kwa vijana kupitia matumizi sahihi ya AI na uongozi

IPU 153 yafungua fursa kwa vijana kupitia matumizi sahihi ya AI na uongozi

Nukta TV

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV