Vijana wageni vinara wa kuitembelea Tanzania

January 20, 2020 2:19 pm · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Wageni vijana hao wenye umri kati ya miaka 25 na 44 wanaongoza kwa kutembelea Tanzania kwa asilimia 46.8

Dar es Salaam. Kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 25 hadi 44 ndiyo wanaongoza kwa kuitembelea Tanzania huku wengi wao wakitokea Marekani na Kenya. 

Kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti wa wageni wa nje ya nchi mwaka 2017 (International Visitors’ Exit Survey Report 2017), mgawanyo wa wageni kwa  makundi ya umri unaonyesha kuwa, wageni wenye umri kati ya miaka 25 na 44 wanaongoza kwa kutembelea Tanzania kwa asilimia 46.8 au karibu nusu ya wageni wote wakifuatiwa na wenye umri kati wa miaka 45 na 64.

Idadi kubwa ya wageni walio na umri wa miaka kati ya 25 hadi 44 wanatoka Kenya na Marekani.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
16 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
16 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
16 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Magonjwa haya matano yanayoongoza kwa kuua watu duniani

Magonjwa haya matano yanayoongoza kwa kuua watu duniani

Nukta TV

Mambo yakuzingatia kabla ujawasha gari lako asubuhi

Mambo yakuzingatia kabla ujawasha gari lako asubuhi

Nukta TV

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Nukta TV