VIDEO: Mambo ya kuzingatia kupata afya bora uzeeni

September 7, 2020 1:07 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuzingatia  mlo bora na wenye uwiano.
  • Mazoezi na kujishughulisha katika kazi nyepesi, vinaweza kuwasaidia kuepukana na mawazo.

Dar es Salaam. Wazee ni kati ya kundi ambalo linahitaji uangalizi wa karibu ikiwa ni pamoja na kuwajali na kuwathamini.

Hata hivyo, wakiwa katika hali hiiyo ya mwili kuchoka, yapo mambo ambayo wanapaswa kuyazingatia ili kuwa na afya bora na kubaki salama yakiwemo kuzingatia mlo wao wa kila siku.

Kwa mujibu wa mtaalamu wa afya, Dk Joshua Sultan, wazee wanashauriwa kula chakula chenye uwiano pamoja na maji mengi ili kuwasaidia kubaki katika afya njema.

“Ulaji wa matunda ya kutosha pamoja na kunywa maji mengi kutamsaidia mzee kurahisisha mmeng’enyo wa chakula huku maji yakimkinga na maradhi ya figo ambayo huwapata wazee wengi,” ameelezea Dk Sultan.

Kufahamu zaidi tazama video hii hapa chini.

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mikakati ya Serikali kuhakikisha walimu wa VETA wanapata ajira na mikopo

Mikakati ya Serikali kuhakikisha walimu wa VETA wanapata ajira na mikopo

Nukta TV

Mama Salama alivyombana Wanu kuhusu maslahi ya walimu wanaojitolea

Mama Salama alivyombana Wanu kuhusu maslahi ya walimu wanaojitolea

Nukta TV

Kwanini uchafuzi wa mazingira ni tishio kwa afya ya binadamu na uchumi

Kwanini uchafuzi wa mazingira ni tishio kwa afya ya binadamu na uchumi

Nukta TV