Umuhimu wa kufanya utafiti kabla ya kuchagua kifungashio cha bidhaa

October 2, 2020 11:51 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Unakuwezesha kufahamu gharama ya kifungashio na uwezo wa kuhimili mikiki mikiki ya usafirishaji. 
  • Siyo kila bidhaa inafaa kuwekwa kwenye kifungashio.

Dar es Salaam. Mara nyingi nimenunua pafyumu kwa kuangalia muundo wa chupa na hata kununua juisi, maji na bidhaa zingine kwa kuwa tu nilivutiwa na jinsi zinavyoonekana kwa nje.

Nilihukumu kitabu kwa kuangalia jalada lake.

Jambo hilo hufanywa na baadhi ya watu ambao muonekano wa kwanza wa bidhaa au kwa kizungu “first impression” huwavutia kununua bidhaa husika. 

Unafikiri kwanini Cocacola au Pepsi walichagua chupa zao? Au kwa nini chupa za maji ya Kilimanjaro na Dasani zina muonekano tofauti? 

Kila kampuni huchagua kifungashio kitakachoifanya bidhaa iwe tofauti na zingine. Tazama video hii kujifunza kuhusu umuhimu wa kuchagua kifungashio kinachoifaa bidhaa yako.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

Nukta TV

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Nukta TV