Ufanye nini unapopata mimba isiyotarajiwa?

October 4, 2021 5:59 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Inashauriwa kujua umri wa mimba hiyo. Itakusaidia kupanga hatua zijazo.
  • Pia inashauriwa kumtaarifu mwenza wako ili ajiandae kisaikolojia na kiuchumi.
  • Kaa karibu na msaikolojia wako.

Dar es Salaam. Licha ya njia za uzazi wa mpango kuwepo na kutangazwa kila siku, bado mimba zisizotarajiwa ni changamoto miongoni mwa vijana wa Tanzania na dunia kwa ujumla.

Kwa baadhi, habari za kuwa “nina ujauzito” zinaweza kuwafanya watamani dunia iwameze wapotee lakini hakuna haja ya “kupaniki” pale unapopata habari za mimba ambayo ulikuwa haujaipangia.

Badala ya kuanza kuwaza mambo mengi na kutaka kufanya mambo ambayo unaweza kujutia maishani, unaweza kuzingatia mambo haya pale unapopata ujauzito ambao haujaupanga.

Ni pamoja na kumshirikisha mwenzi wako ili kumpatia muda wa kujiandaa na malezi ya mtoto ajaye. 

Kama ujauzito huo unakupa mawazo sana, unaweza kuonana na mtaalamu wa masuala ya afya ili kupata msaada wa kitalamu na kisaikolojia pia.

Pia unaweza kuwajulisha wazazi wako kwani wana uzoefu kuliko wewe.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
24 Sep, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
24 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
24 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Ukweli kuhusu Mama Fatma Karume, mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar

Ukweli kuhusu Mama Fatma Karume, mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar

Nukta TV

Tanzania yasisitiza amani na suluhu Mashariki ya Kati, kikao cha 81 cha UN

Tanzania yasisitiza amani na suluhu Mashariki ya Kati, kikao cha 81 cha UN

Nukta TV

Rais Mwinyi: Wananchi wanataka viongozi walete maendeleo, si malumbano ya kisiasa

Rais Mwinyi: Wananchi wanataka viongozi walete maendeleo, si malumbano ya kisiasa

Nukta TV