Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Februari 14,2025

February 14, 2025 9:58 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Februari 14, 2025.

Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Ukizingatia leo ni Siku ya Wapendanao Duniani unaweza kutumia viwango hivi vya fedha kuwatumia ndugu, jamaa na marafiki walioko nje ya nchi ili kudumisha upendo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks