Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Aprili 4,2025
April 4, 2025 9:35 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Aprili 4, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest

10 hours ago
·
Lucy Samson
Dk Nchimbi aikosoa “No reform no election” asema hakuna wa kuzuia uchaguzi

12 hours ago
·
Esau Ng'umbi
Riba ya benki kuu Tanzania yabakia 6% kwa mara ya nne mfululizo

1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Waliofanya usaili wa maandishi TRA kujua mbivu na mbichi Aprili 25

2 days ago
·
Lucy Samson
Serikali yawaita wahitimu wa kidato cha nne kubadili tahasusi, chuo