Tahadhari: Unene uliopitiliza unaweza kumpata kila mtu

September 30, 2020 7:24 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link
  • Tatizo hilo linaweza kumpata mtu yoyote duniani.
  • Unene uliopitiliza huchangia kupata kisukari, kiharusi na magonjwa ya moyo.
  •  Shirika la Afya Duniani (WHO) lataka mshikamano kumaliza tatizo hilo.

Dar es Salaam. Kama bado una fikra kuwa unene uliopitiliza (obesity) unawapata watu wenye kipato kizuri hasa katika nchi zilizoendelea duniani, utakuwa unajidanganya. 

Kwa sasa, tatizo hilo linawapata watu wote hata wasio na fedha katika nchi maskini. 

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema tatizo hilo la kiafya limesamba kila mahali duniani ambapo takriiban watu milioni 2.8 hufariki dunia kila mwaka kutokana na unene uliopitiliza. 

“Zamani ulikuwa unahusishwa na nchi zenye kipato cha juu (high-income countries), kwa sasa unene uliopitiliza unawakumba hata watu waliopo kwenye nchi zenye kipato cha kati na chini,” inaeleza WHO.

Shirika hilo imezitaka serikali, washirika wa kimataifa, asasi za kiraia, mashirika yasiyo ya kiserikari na sekta binafsi kushikamana kuzuia na kupunguza tatizo la unene uliopitiliza. 

Unene uliopitiliza huchangia kupata magonjwa ya kisukari, moyo na kiharusi.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
16 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
17 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
17 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Magonjwa haya matano yanayoongoza kwa kuua watu duniani

Magonjwa haya matano yanayoongoza kwa kuua watu duniani

Nukta TV

Mambo yakuzingatia kabla ujawasha gari lako asubuhi

Mambo yakuzingatia kabla ujawasha gari lako asubuhi

Nukta TV

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Nukta TV