Serikali kushusha tozo maendeleo ya ufundi (SDL)

June 11, 2020 2:23 pm · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link
  • Zimeshushwa kutoka asilimia 4.5 hadi asilimia 4 ili kuwapunguzia waajiri mzigo na gharama za uendeshaji.
  • Kwa muda mrefu waajiri wamekuwa wakilalamikia uwepo wa kiwango kikubwa cha tozo hizo ambazo huathiri pia mapato yao.

Dar es Salaam. Serikali imependekeza kushusha kiwango cha tozo kwa ajili ya maendeleo ya ufundi stadi (Skills Development Levy) kutoka asilimia 4.5 hadi asilimia 4 ili kuwapunguzia waajiri mzigo na gharama za uendeshaji.

Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango amesema hatua hiyo inatarajiwa kupunguza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Sh42.07 bilioni.

“Lengo la marekebisho haya ni kuwapunguzia waajiri mzigo na gharama za uendeshaji wa shughuli zao na kutimiza azma ya kupunguza tozo hizi hatua kwa hatua bila kuathiri mapato kwa kiasi kikubwa,” amesema Dk Mpango.

Kwa muda mrefu waajiri wamekuwa wakilalamikia uwepo wa kiwango kikubwa cha tozo hizo ambazo huathiri pia mapato yao.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
4 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
4 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

Nukta TV

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Nukta TV