Serikali ilivyojipanga kuwaokoa watoto wa mtaani

January 28, 2020 1:03 pm · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Inatekeleza programu ya kuwaunganisha na familia zao na kuwapatia malezi mbadala. 

Dar es Salaam. Katika kuhakikisha inapunguza idadi ya watoto wa mtaani, Serikali imesema inatekeleza mpango wa kuunganisha watoto na familia zao na kuwatafutia malezi mbadala wale wasio na familia.

Mpango huo umeanza kutekelezwa  katika Mkoa wa Mwanza tangu Novemba 2019 na utasamba katika mikoa yote yenye watoto wengi wa mtaani wanaoishi katika mazingira magumu.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Faustine Ndungulile akizungumza mapema Bungeni leo (Januari 28, 2020) amesema katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2019, waligundua watoto wa mitaani wanaoishi katika mazingira magumu 36,548 wakiwemo watoto wa kiume 17,894. 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
25 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
25 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Elimu ya kodi mwarobaini wa wafanyabiashara kuikwepa TRA, ianzie shuleni

Elimu ya kodi mwarobaini wa wafanyabiashara kuikwepa TRA, ianzie shuleni

Nukta TV

Rais Samia: Serikali chini ya Magufuli haikutaka kuyumbishwa kukamili kwa JNHPP

Rais Samia: Serikali chini ya Magufuli haikutaka kuyumbishwa kukamili kwa JNHPP

Nukta TV

Rais Samia: Umeme wa SGR hautoingiliwa, Dodoma umeme uhakika 24/7

Rais Samia: Umeme wa SGR hautoingiliwa, Dodoma umeme uhakika 24/7

Nukta TV