Unavyoweza kuepuka magonjwa ya ngozi
February 15, 2021 10:41 am ·
Rodgers Raphael
- Ni kwa kuepuka kuchangia nguo kwani yapo magonjwa yanayoambukizwa kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine.
- Pia unatakiwa kunywa maji ili kuipatia afya nzuri ngozi yako.
Dar es Salaam. Magonjwa ya ngozi huja kwa namna nyingi na hutofautiana kati ya mtu na mtu. Wapo ambao hupata muwasho, wapo ambao ngozi hubanduka na wapo wapatao mba.
Magonjwa hayo husababishwa na mengi lakini mara nyingi huwa ni mtindo maisha, lishe, mzio na kuambukizwa na wengine.
Mfano, kwa mtindo maisha, wapo watu ambao hushindwa kujikausha vyema wanapomaliza kuoga hasa sehemu za miguuni na sehemu za siri na hivyo kuishia kupata fangasi katika maeneo hayo.
Ili kuepukana na tatizo hilo katika ngozi yako, unaweza kuangazia baadhi ya suluhu hizi:
Unataka kuwa na ngozi yenye afya bora? Achana na hizi tabia ikiwemo kuvaa nguo za mtu mwingine.#NuktaVideoYaSiku
pic.twitter.com/nbd3tg9wFL— Nukta Tanzania (@NuktaTanzania) February 15, 2021
Latest

18 hours ago
·
Lucy Samson
Serikali yawaita wahitimu wa kidato cha nne kubadili tahasusi, chuo

24 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Idara ya Uhamiaji Tanzania yatahadharisha umma na utapeli wa ajira

1 day ago
·
Fatuma Hussein
Si kweli: TRA wametoa matokeo ya usaili wa nafasi za kazi

1 day ago
·
Lucy Samson
Bei ya petrol, dizeli yapaa miezi minne mfululizo