Mbuga za wanyama, fukwe vinara kutembelewa na watalii Tanzania
March 9, 2019 9:51 am ·
Mwandishi
Ripoti ya utafiti wa wageni wa nje ya nchi mwaka 2017 (International Visitors’ Exit Survey Report 2017) inaonyesha kuwa maeneo hayo mawili yanachukua asilimia 58.2 ya maeneo yote yaliyotembelewa na watalii nchini mwaka 2017.
Maeneo mengi ambayo yanatambelewa na watalii ni pamoja na maeneo ya utamaduni, mikutano, ndugu na marafiki.

Latest
12 hours ago
·
Fatuma Hussein
Mwigulu alaani vitendo vvya uvunjifu wa amani
12 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya Disemba 9
13 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Balozi 16 za EU zalaani yaliyotokea Oktoba 29
15 hours ago
·
Fatuma Hussein
Malaria bado ni tishio duniani, maambukizi yaongezeka