Rais Samia amteua Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania

June 13, 2025 10:10 am · Esau Ng'umbi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Rais  wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kuchukua nafasi ya Prof Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu baada ya kuhudumia mhimili huo wa dola kwa miaka minane. 

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu leo Juni 13, imebainisha kuwa  uapisho wa Masaju utafanyika Juni 15, 2025 Ikulu, Chamwino Dodoma.

Kabla ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo Jaji Masaju amewahi kuwa mshauri wa Rais Jakaya Kikwete katika masuala ya kisheria na baadae alihudumu kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali.


Januari 22, mwaka huu Jaji Masaju aliapishwa na Rais Samia kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
7 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
7 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

Nukta TV

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Nukta TV

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

Nukta TV