Maujanja ya kuchagua miwani bora ya jua

January 23, 2021 10:11 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na rangi ya lensi ya miwani unayonunua.
  • Pia unatakiwa kuhakikisha kuwa miwani inakulinda dhidi ya mionzi ya UV kwa asilimia 100

Dar es Salaam. Miwani ya jua imeendelea kuwa na watumiaji wengi siku hadi siku. 

Kuanzia madereva wa bodaboda, wadau wanaopenda kutembelea fukwe na watu wengine wengi huvaa bidhaa hiyo kuongeza utanashati au kujikinga na jua na wengine kuongeza kujiamini wanapokuwa katika mikusanyiko.

Hata hivyo, siyo kila miwani inafaa kuvaliwa na kila mtu hivyo inahitaji mambo mengi kuzingatiwa wakati mtu anachagua miwani kwa ajili ya jua au kuongeza urembo.

Ili kupata  miwani inayo kufaa, zingatia yafuatayo yakiwemo umbo la sura yako:

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Nukta TV

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Nukta TV