Matokeo darasa la saba mwaka 2022 haya hapa

December 1, 2022 7:12 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2022.

Matokeo hayo yametangazwa leo Desemba 1, 2022 na tayari yameshapakiwa katika tovuti ya baraza hilo www.necta.go.tz.

Mtihani wa darasa la saba ni hatua muhimu katika safari ya elimu ya sekondari na hatimaye elimu ya juu nchini.

Tutakuletea undani wa matokeo yote hayo hivi punde yaliyochambuliwa kwa kina zikiwemo shule 10 bora na wanafunzi waliotikisa mwaka huu.

Kupata matokeo hayo, bonyeza hapa

Enable Notifications OK No thanks