Huu ndiyo umuhimu wa tuzo katika kuikuza kampuni yako

February 8, 2020 6:23 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Tuzo zitakusaidia katika kukuongezea juhudi za kufanya vizuri zaidi.
  • Usitafute tuzo, fanya kazi nzuri na zitakufuata.

Dar es Salaam. Wakati ukianza biashara yako, unakuwa na hamu ya kuiona ikizidi kusoga mbele kuwafikia watu wengi zaidi.

Hata hivyo, endapo biashara yako itaanzishwa na watu hawatoona umuhimu au uwepo wake, huenda ukakata tamaa na kuona kuwa hawaendani na mapokeo ya bidhaa yako sokoni au huduma, siyo nzuri.

Wadau mbalimbali wakiwemo wafanya biashara wamesema, wapo vijana ambao wana ona aibu kuomba kushiriki kwenye vinyang’anyiro mbalimbali vinavyokuja mbele yao licha ya kuwa na sifa zote.

Makala hii inakusogeza karibu wewe kama mfanyabishara kuanza kuangazia fursa hii ambayo ipo wazi kwaajili yako,Kwanini ushiriki?

Infografia hii imeboreshwa leo Februari 8,2020.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
NISHATI

NISHATI

Nukta TV

Utani wa Rais Samia kwa wachimba madini wa Katoro

Utani wa Rais Samia kwa wachimba madini wa Katoro

Nukta TV

Rais Samia: Misaada imepungua, tukaze buti

Rais Samia: Misaada imepungua, tukaze buti

Nukta TV