Namna ya kupika ‘chips’ kwenye pressure cooker

July 2, 2025 6:14 pm · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link
  • Utahitaji viazi mbatata pamoja na mafuta katika pishi lako.

Umewahi kufikiria kuwa unaweza kupika chips kwa kutumia pressure cooker? Kama bado katika video hii utaona jinsi kifaa hiki chenye nguvu kinavyoweza kupika vyakula mbalimbali kwa haraka, kwa ladha ya kipekee na kwa kutumia mafuta kidogo.

Video hii si tu inakupa maarifa mapya, bali pia inakuonyesha mbinu za kipekee ambazo unaweza kuanza kutumia mara moja jikoni kwako ukiwa  na pressure cooker.

Ikiwa hujaanza kutumia jiko hilo la umeme lenye presha, basi jikosokoni.co.tz wanayo dukani kwao, unaweza kujipatia moja kwa bei rahisi.

Bonyeza video kujifunza siri ya upishi ukiwa nyumbani na familia.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
12 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
12 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Akili Unde (AI) ni suluhu ya habari za uzushi ?

Akili Unde (AI) ni suluhu ya habari za uzushi ?

Nukta TV

KAOMBWE: Mfungwa aliyegeuza gereza kuwa darasa la ujuzi Mwanza

KAOMBWE: Mfungwa aliyegeuza gereza kuwa darasa la ujuzi Mwanza

Nukta TV

BoT yafungua soko la dhamana za Serikali kwa wawekezaji wa kigeni

BoT yafungua soko la dhamana za Serikali kwa wawekezaji wa kigeni

Nukta TV