Viwango vya kubadili fedha Februari 12, 2026
February 12, 2026 8:49 am ·
Kelvin Makwinya
Dar es Salaam. Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania vinavyotolewa na Benki za CRDB na NMB kwa matumizi ya leo Februari 11, 2026 huku Dola ya Marekani ikiendelea kusalia katika kiwango kilekile kilichokuwa jana kwa benki zote mbili.
Viwango hivi hubadilika kila siku kulingana na mwenendo wa soko la fedha, na vina umuhimu mkubwa kwa wafanyabiashara, wawekezaji na walipakodi, hasa katika kufanya malipo ya ada, kodi pamoja na ununuzi na uingizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi.
Kupitia viwango hivi vya kubadilisha fedha, watumiaji wa sarafu za kigeni hupata mwongozo sahihi wa kupanga bajeti, kufanya manunuzi na kuendesha shughuli zao za kifedha kwa ufanisi zaidi.


Latest
6 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia kushiriki mkutano AU, Tanzania ikimaliza muda wake Baraza la Amani
1 day ago
·
Fatuma Hussein
Yaliyotekelezwa ndani ya siku 100 za Samia
1 day ago
·
Lucy Samson
Rais Samia ateua wanne kuwa wenyeviti wa bodi
2 days ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Februari 11, 2026