Viwango vya kubadili fedha Tanzania Novemba 27, 2025
November 27, 2025 9:11 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Novemba 27, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
/
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
25 May, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →25 May, 2026