Viwango vya kubadili fedha Tanzania Novemba 26, 2025
November 26, 2025 8:50 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Novemba 26, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
6 hours ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha Tanzania Novemba 27, 2025
18 hours ago
·
Esau Ng'umbi
Jinsi ya kutambua fedha bandia,halali
21 hours ago
·
Lucy Samson
Fahamu jinsi ya kutumia miwani janja (Smart glasses)
2 days ago
·
Kelvin Makwinya
Mwigulu: Kutangaza idadi ya vifo ni kutonesha vidonda vya Watanzania