Viwango vya kubadili fedha Tanzania Novemba 25, 2025
November 25, 2025 12:21 pm ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Novemba 25, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
6 days ago
·
Kelvin Makwinya
Vodacom Tanzania yamwaga Sh70 bilioni kuboresha M-Pesa
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
BoT yabakiza riba ya benki kuu 5.75% licha ya vita Mashariki ya Kati
1 week ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
