Matokeo ya kidato cha nne 2024 haya hapa

January 23, 2025 11:50 am · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link

Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika Novemba 11 hadi 29, 2024.

Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dk. Said Mohamed ametangaza matokeo hayo leo Januari 23, 2025 jijini Dar es Salaam.

Bonyeza hapa kuona matokeo ya kidato cha nne 2024

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks