Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo Oktoba 22, 2024
October 22, 2024 11:27 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 22, 2024.
Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, pia husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi pamoja na kulipa ada za wanafunzi wasomao nje ya nchi.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
5 Jun, 2026 · TZS
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
5 Jun, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →5 Jun, 2026