Viwango vya kubadili fedha za kigeni Septemba 27, 2024
September 27, 2024 10:41 am ·
Fatuma Hussein
Kwa wale wanaotarajia kusafiri nje ya nchi, wanaohitaji kulipa ada za watoto wanaosoma nje ya nchi, wahasibu, wananuzi na watumiaji wa pesa za kigeni hivi ndio viwango elekezi vinavyotumika leo Septemba 27,2024.
Viwango hivi, vinavyobadilika kutokana na mwenendo wa soko, pia husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi.

Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
5 Jun, 2026 · TZS
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
5 Jun, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →5 Jun, 2026