Ngano bei juu mkoani Lindi

September 13, 2024 7:31 pm · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Bei ya ngano Rukwa leo ni mara tano chini zaidi ya ile iliyotumika mkoani Lindi ya Sh400,000 kwa gunia la kilo 100 la bidhaa hiyo muhimu katika kuandaa vitafunwa kama maandazi, chapati, sambusa na mikate.

Wakati Rukwa wakilia na ngano, wakazi wa Songwe wameendelea kuneemeka na mahindi baada ya zao hilo kuuzwa kwa Sh41,600 kwa gunia la kilo 100.

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks