Thamani ya sarafu za nje yazidi kuimarika dhidi ya Shilingi ya Tanzania

September 5, 2024 1:15 pm · John Francis
Share
Tweet
Copy Link

Dola ya Marekani imeongezeka kiduchu kwa asilimia 0.7 kutoka wastani wa Sh2,672 hadi Sh2,690 kati ya Agosti na Septemba, huku Pauni ya Uingereza ikipanda kwa asilimia 3.1, kutoka wastani wa Sh3,423 hadi Sh3,529, mara nne zaidi ya ongezeko la Dola.

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks