CHATI YA SIKU: Yanayofahamika kutoka mahafali ya 48 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
November 16, 2018 11:38 am ·
Mwandishi
Yanayofahamika kutoka katika mahafali ya 48 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yanayofanyika leo Novemba 13 na 17, 2018.
Idadi ya wahitimu wa kiume ni karibu mara mbili zaidi ya wahitimu wa kike jambo linalozua maswali ni lini wanawake wataweza kufikia angalau nusu kwa nusu ya wanaume katika elimu hiyo ya juu.

Latest
5 days ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
6 days ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
7 days ago
·
Lucy Samson
ATCL yaripoti hasara ya Sh191.1 bilioni, CAG aanika sababu
7 days ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia apokea ripoti CAG, TAKUKURU na PPRA aagiza utekelezaji wa haraka