Huu ndiyo umuhimu wa tuzo katika kuikuza kampuni yako
- Tuzo zitakusaidia katika kukuongezea juhudi za kufanya vizuri zaidi.
- Usitafute tuzo, fanya kazi nzuri na zitakufuata.
Dar es Salaam. Wakati ukianza biashara yako, unakuwa na hamu ya kuiona ikizidi kusoga mbele kuwafikia watu wengi zaidi.
Hata hivyo, endapo biashara yako itaanzishwa na watu hawatoona umuhimu au uwepo wake, huenda ukakata tamaa na kuona kuwa hawaendani na mapokeo ya bidhaa yako sokoni au huduma, siyo nzuri.
Wadau mbalimbali wakiwemo wafanya biashara wamesema, wapo vijana ambao wana ona aibu kuomba kushiriki kwenye vinyang’anyiro mbalimbali vinavyokuja mbele yao licha ya kuwa na sifa zote.
Makala hii inakusogeza karibu wewe kama mfanyabishara kuanza kuangazia fursa hii ambayo ipo wazi kwaajili yako,Kwanini ushiriki?
Infografia hii imeboreshwa leo Februari 8,2020.