VIDEO: Jinsi maziwa ya mama yanavyoimarisha afya ya mtoto

August 3, 2020 9:02 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Humjengea mtoto kinga ya mwili madhubuti.
  • Kumnyonyesha mtoto kutamsaidia mama kurejea hali yake ya kawaida baada ya kujifungua kwa haraka zaidi.
  • Mama anatakiwa kumnyonyesha mtoto wake walau kwa mwaka mzima na ndani ya miezi sita ya kwanza, mtoto asipatiwe chakula kingine chochote ikiwemo uji na maji.

Dar es Salaam. Ni kawaida na ni jukumu la mama kumnyonyesha mtoto wake lakini kutokana na wingi wa majukumu, baadhi yao hushindwa na kuishia kuwapa watoto wao maziwa ya kopo. 

Mbali na kumuongezea gharama mzazi, hali hiyo humnyima virutubisho muhimu mtoto ambaye hatumii chakula kingine isipokuwa maziwa kwa kipindi cha miezi sita ya kwanza.

Kwa mujibu wa Dk Joshua Sultan kutoka taasisi ya taasisi ya Nakua na Taifa Langu (NTL) na Mkurugenzi wa Indigo Afya, mama anatakiwa kumnyonyesha mtoto wake walau kwa mwaka mzima.

Zaidi, ndani ya miezi sita ya mwanzo, mtoto anatakiwa kupewa maziwa kama chakula pekee bila kuongeza uji na maji.

Tazama video hii kujua undani wa faida unazoweza kupata wewe na mtoto wako.

                               

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Nukta TV

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Nukta TV