VIDEO: Jinsi ya kuzuia matangazo unapotumia simu yako

December 4, 2020 1:18 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni kwakufuata baadhi ya hatua ili kuzima ruhusa ya tovuti hiyo kukuletea matangazo.

Dar es Salaam. Inakera sana pale unapokuwa una tazama video na tangazo linajipachika kwenye skrini yako bila kujua hata lilipotokea.

Ili kulifutilia mbali tangazo hilo, unahitaji dakika chache tu. ni hatua zipi hizo, tazama video hii inayokupatia maelezo muhimu kwa mujibu wa kituo cha msaada cha Google.

Enable Notifications OK No thanks