Mambo ya kufanya kulinda afya ya macho yako

April 19, 2021 9:19 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuepuka kutumia dawa bila maelekezo ya daktari.
  • Unashauriwa kupima macho mara kwa mara. 

Dar es Salaam. Kadiri umri unavyozidi kusogea uzeeni, viungo vya mwili taratibu huanza kupungukiwa uwezo wake wa kufanya kazi. Kuanzia miguu, mgongo na vivyo hivyo kwa macho. 

Hata hivyo, kwa namna moja ama nyingine, tabia zetu za kila siku zinaweza kuharakisha au kupunguza kasi ya kupungua kwa uwezo wa kuona.

Kwa mujibu wa Daktari na Mtafiti kutoka Taasisi ya Afya ya Jamii (KCMUco), Dk Julieth Sebba, yapo mazoezi au tabia nzuri zinazoweza kuifanya afya ya macho yako kuwa nzuri kadri umri wako unavyozidi kusogea.

Epuka matumizi ya sigara, dhibiti magonjwa kama kisukari na presha ya damu na epuka matumizi ya dawa za macho bila ushauri wa mtaalamu wa afya.

Kufahamu zaidi, tazama video hii:

                         

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
25 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
25 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Elimu ya kodi mwarobaini wa wafanyabiashara kuikwepa TRA, ianzie shuleni

Elimu ya kodi mwarobaini wa wafanyabiashara kuikwepa TRA, ianzie shuleni

Nukta TV

Rais Samia: Serikali chini ya Magufuli haikutaka kuyumbishwa kukamili kwa JNHPP

Rais Samia: Serikali chini ya Magufuli haikutaka kuyumbishwa kukamili kwa JNHPP

Nukta TV

Rais Samia: Umeme wa SGR hautoingiliwa, Dodoma umeme uhakika 24/7

Rais Samia: Umeme wa SGR hautoingiliwa, Dodoma umeme uhakika 24/7

Nukta TV