Ruvuma inavyokimbiza uzalishaji wa mahindi Tanzania

September 15, 2021 10:38 am · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Inaongoza kwa uzalishaji wa zao hilo.
  • Mwaka 2019/20 ilizalisha tani 498,685.

Dar es Salaam. Kwa mujibu wa ripoti ya Sensa ya Taifa ya Kilimo ya mwaka 2019/20 ni Ruvuma ni mkoa unaongoza kwa uzalishaji wa mahindi Tanzania Bara.

​Ripoti hiyo inaeleza kuwa mwaka 2019/20, mkoa huo ulizalisha tani 498,685 sawa na asilimia 7.7 ya mahindi yote yaliyozalishwa mwaka huo ambayo yalikuwa tani milioni 6.5.

Mikoa mingine iliyokuwa na uzalishaji mkubwa ni Manyara ikishika nafasi ya pili ikifuatiwa na Tanga na Tabora.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
6 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
6 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Nukta TV

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Nukta TV

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Nukta TV