Hali halisi ya Tehama shule za msingi Maswa
February 4, 2022 6:39 am ·
Daniel Samson
Dar es Salaam. Licha ya teknolojia ya habari na mawasiliano kuwa na umuhimu kwa wanafunzi kupata ujuzi na maarifa mapya, shule za msingi za Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa vifaa vya Tehama.
Hali hiyo inaweza kuwa kikwazo kwa wanafunzi kupata elimu ya Tehama ambayo inahitajika zaidi wakati huu wa mapinduzi ya nne ya viwanda.

Latest
2 hours ago
·
Lucy Samson
Hizi ndio nchi 5 zenye idadi kubwa ya Simba Afrika
5 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Disemba 5, 2025
23 hours ago
·
Lucy Samson
Tanzania mwenyeji mkutano wa mabunge duniani 2026
2 days ago
·
Fatuma Hussein
DCEA yataifisha mali za Sh 3.3 bilioni za watuhumiwa biashara dawa za kulevya