Watu zaidi ya 3000 wafariki kwa Uviko-19 saa 24 zilizopita

December 19, 2022 8:30 am · Daudi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema watu 3,701 wamefariki dunia saa 24 zilizopita kwa ugonjwa wa Corona (Uviko-19). 

WHO pia imeeleza kuwa katika muda huo, watu 807,865 wamepata maambukizi na kufanya idadi ya watu walioambukizwa ugonjwa huo tangu mwaka 2019 kufikia milioni 647.9.

/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
25 May, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
25 May, 2026
No active movers today
Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

MIKOA 5 YA KIPOLISI INAYOONGOZA KWA MAKOSA BARABARANI

Nukta TV

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

SERIKALI YAKAMILISHA MAZUNGUMZO MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA

Nukta TV

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

🔴LIVE: KAPINGA AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA 2026/2027 BUNGENI.

Nukta TV