TMDA yateketeza bidhaa feki zenye thamani ya zaidi ya Sh8 bilioni

December 28, 2022 12:48 pm · admin
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Huenda athari za kiafya zinazotokana na kutumia bidhaa zisizo na ubora ikiwemo dawa na vifaa tiba zikapungua kwa Watanzania mara baada ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuteketeza zaidi ya tani 14,704 za bidhaa zisizokidhi viwango vya ubora.

Kwa mujibu wa ripoti ya utendaji kazi ya  TMDA  ya mwaka 2021 inaonyesha tani hizo 11,704 zilizoteketezwa zilikuwa zina thamani Sh8.45 bilioni.

Kwa mujibu wa  Shirika la Afya Duniani (WHO), nusu ya madhara yote yanayoweza kuzuilika katika huduma za afya yanahusiana na dawa. 

WHO inaeleza kuwa robo ya madhara hayo yanayohatarisha maisha huku mazoea ya kutumia dawa zisizo salama na makosa ya utoaji dawa ni mojawapo ya sababu kuu za majeraha na madhara yanayoweza kuepukika katika mifumo ya huduma za afya duniani kote.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
7 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
7 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

Nukta TV

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Nukta TV

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

Nukta TV