Unayotakiwa kufahamu kuhusu virusi vya Corona
February 3, 2020 3:04 pm ·
Daniel Samson
Dar es Salaam. Kwa mujimu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), hadi kufikia Februari 2, 2020, watu zaidi ya 14,500 wameambukizwa virusi vya Corona na tayari vimesambaa kwenye mataifa 24 licha ya serikali nyingi kuweka marufuku ya kuingia kwa watu wanaotoka China ambako takriban asilimia 99 ya visa vimeripotiwa.

Latest
12 hours ago
·
Fatuma Hussein
Mwigulu alaani vitendo vvya uvunjifu wa amani
12 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya Disemba 9
13 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Balozi 16 za EU zalaani yaliyotokea Oktoba 29
15 hours ago
·
Fatuma Hussein
Malaria bado ni tishio duniani, maambukizi yaongezeka