Unavyoweza kujikinga na magonjwa ya figo
February 8, 2021 12:46 pm ·
Rodgers Raphael
- Magonjwa ya figo humpata mtu kutokana na mtindo maisha wake ikiwemo mazoea ya kufanya mazoezi na kunywa maji ya kutosha.
Dar es Salaam. Mtindo wa maisha huwa na athari nyingi kiafya bila baadhi ya watu kufahamu. Mfano kushindwa kuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi pamoja na kuwa mwangalifu kwa chakula unachotumia inaweza kuwa sababu ya kupata magonjwa mbalimbali yakiwemo ya figo.
Kwa mujibu wa tovuti ya elimu juu ya afya ya figo, ulaji wa chakula kilicho na chumvi nyingi, mlo usio kamili na kutokunywa maji ya kutosha huweza kumsababishia mtu kupata magonjwa ya figo.
Zaidi, katika video hii.
Latest

3 days ago
·
Fatuma Hussein
WHO: Watu zaidi ya milioni 300 duniani wanahitaji msaada wa afya ya akili

4 days ago
·
Lucy Samson
Wizara ya Elimu yatangaza ufadhili wa masomo Russia

4 days ago
·
Fatuma Hussein
Marekani yaiwekea Tanzania masharti dhamana ya viza

4 days ago
·
Lucy Samson
Habari za uzushi zinavyoweza kuathiri uchaguzi wa kidemokrasia