Nape: Tumepanua uhuru wa vyombo vya habari Tanzania
May 2, 2022 7:58 am ·
Mwandishi
Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani amepanua uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, jambo linalotoa fursa kwa waandishi kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini.
Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Mei 3, 2022, Waziri Nape amesema wataitumia siku hiyo kufanya tathmini ya hatua zilizopigwa katika kuongeza uhuru wa kujieleza nchini hasa unahusu vyombo vya habari.
Latest

16 hours ago
·
Esau Ng'umbi
From shortage to solution: The role of specialized trainings in Tanzania healthcare revamp

16 hours ago
·
Fatuma Hussein
Rais Samia: Elimu, uongozi visiwasahaulishe wanawake wajibu wa malezi

1 day ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha, Februari 21, 2025

2 days ago
·
Fatuma Hussein
Rais Samia azindua tume kutathimini migogoro wa ardhi, uhamaji wa hiari Ngorongoro