Mwaka ambao simu za mkononi zilizipiga bao simu za mezani

May 11, 2019 11:19 am · Nuzulack Dausen
Share
Tweet
Copy Link
  • Mwaka 1995 ilikuwa ni anasa kumiliki simu ya mkononi.
  • Wakati huo, watumiaji wa simu za mkononi walikuwa 2,198 kati ya watumiaji 90,298 waliokuwepo nchini.

Dar es Salaam. Mwaka 1995 ilikuwa ni anasa kumiliki simu ya mkononi. Kati ya watumiaji 100 wa simu, ni takriban watatu tu walikuwa wakitumia simu za mkononi kwa mujibu wa takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Wakati huo, watumiaji wa simu za mkononi walikuwa 2,198 kati ya watumiaji 90,298 waliokuwepo nchini. Enzi hizo huduma za simu za mezani ilikuwa kila kitu kutokana na simu za mkononi kuwa ghali na teknolojia kutofika katika maeneo mengi Tanzania.

Simu za mkononi zimechangia kwa kiasi kubwa kuleta maendeleo nchini kwa kuongeza kasi ya mawasiliano huku mapinduzi makubwa yakitokea baada ya kuanza kutoa huduma za kifedha.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Nukta TV

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Nukta TV