Idadi ya wazee duniani kufikia bilioni 1.5 mwaka 2050

October 1, 2022 10:57 am · admin
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) hadi mwaka 2019 kulikuwa na jumla ya wazee milioni 703 ambao walikuwa na umri kuanzia miaka 65 na kuendelea.

Idadi hiyo ilikuwa mara mbili zaidi ya watu waliokuwa na umri wa chini ya miaka mitano mwaka 2020.

Ikiwa leo Oktoba Mosi, ni maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, UN imesema katika miongo mitatu ijayo idadi ya wazee itaongezeka na kufikia 1.5 bilioni huku mataifa ya Kusini Mashariki mwa Asia yakishuhudia ongezeko kubwa zaidi la wazee. 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

WORD BANK: Tanzania haina upungufu wa ajira, changamoto tija yake

Nukta TV

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

CEOs kung'oka baada ya miaka 10, BoT yarudisha mjadala

Nukta TV

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Onyo la wachumi ikiwa ukomo wa miaka 10 hautoondolewa kwa CEOs wa benki

Nukta TV