Viwango vya kubadili fedha Novemba 19, 2025
November 19, 2025 9:36 am ·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Novemba 19, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
5 minutes ago
·
Fatuma Hussein
Kihongosi: Viongozi wazembe Serikalini kukiona
21 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Saba wateuliwa kuchunguza vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi
23 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia awataka Mawaziri kuwajibika, wakitumia vizuri fedha za ndani
2 days ago
·
Lucy Samson
Wafahamu wabunge 8 waliotemwa katika baraza la mawaziri Tanzania