Fahamu sehemu sahihi za kupata taarifa za uchaguzi

August 13, 2025 6:38 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kufuatilia tovuti rasmi za chama na Serikali

Arusha. Tunapoelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani ni kawaida kukutana na habari za kila aina nyingine zikiwa za kweli huku nyingine zikipotoshwa.

Ukiwa kama Mwananchi mwenye kiu na taarifa sahihi zenye ukweli wa kina ni lazima kufahamu wapi unapoweza kupata taarifa hizo ikiwemo katika tovuti rasmi za Serikali, vyama vya siasa, kurasa za kijamii za viongozi au vyama vya siasa pamoja na kusoma ilani za uchaguzi na machapisho mbalimbali ya kisiasa.

Kumbuka kuwa hata taarifa zilizopo katika sehemu hizo zinaweza kupotoshwa hivyo ni vyema kuthibitisha habari wakati wote.

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks