Data: Undani kuhusu waliopata mikopo elimu ya juu mwaka 2019-2020

October 18, 2019 9:58 am · Nuzulack Dausen
Share
Tweet
Copy Link
  • Tayari HESLB imeshatangaza majina ya wanafunzi takriban 31,000 wa mwaka wa kwanza wamepata mikopo hiyo katika awamu ya kwanza ya mwaka wa masomo wa 2019/20.

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) hatimaye imeanza kutoa majina ya waliofanikiwa kupata mikopo hiyo katika mwaka wa kwanza wa masomo wa 2019/20 katika awamu ya kwanza. 

Wanafunzi 30,675 wametunukiwa mikopo hiyo katika awamu hiyo ya kwanza huku awamu ya pili ikitarajiwa kutangazwa hapo Oktoba 25.

Kuna mengi ambayo yanahusu mikopo hiyo muhimu katika kufanikisha ndoto ya elimu ya juu kwa sehemu kubwa ya vijana nchini Tanzania. 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
17 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
17 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Nukta TV

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Nukta TV

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Nukta TV