Muhogo kinara mazao ya kudumu Tanzania

March 19, 2020 3:44 am · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Zao la muhogo limetajwa kama zao linaongoza miongoni mwa mazao ya kudumu baada ya takwimu za Wizara ya Kilimo kuonyesha kuwa uzalishaji wa zao hilo ni karibu theluthi moja ya mazao hayo Tanzania bara.

Dar es Salaam. Ripoti ya Mwaka ya Utafiti wa Sekta ya Kilimo ya mwaka 2016/17 (AAS 2016/2017) iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha kuwa uzalishaji wa muhogo ulikuwa asilimia 24.2 ya uzalishaji wa mazao yote ya kudumu uliofanyika mwaka 2016/2017. 

Hiyo ni sawa na kusema karibu theluthi moja ya mazao ya kudumu yaliyozalishwa mwaka huo ulikuwa ni muhogo. 

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, mikoa ambayo inaongoza kwa uzalishaji wa zao hilo la chakula ni Kigoma, Geita na Tanga.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
16 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
16 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
16 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Magonjwa haya matano yanayoongoza kwa kuua watu duniani

Magonjwa haya matano yanayoongoza kwa kuua watu duniani

Nukta TV

Mambo yakuzingatia kabla ujawasha gari lako asubuhi

Mambo yakuzingatia kabla ujawasha gari lako asubuhi

Nukta TV

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Kutana na ‘Poultry Plucker’, mashine inayonyonyoa kuku watatu kwa dakika moja

Nukta TV