VIDEO: Usifanye haya unaposikia kiu

August 11, 2020 5:35 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kutokutumia vinywaji kama soda na juisi kwa kuwa havitosaidia kuikata kiu yako.
  • Badala yake pendelea kutumia maji ya kunywa hata kama hausikii kiu.

Dar es Salaam. Mara nyingi watu wanapopata kiu hufikiria kuwa kimiminika chochote kinaweza kuikata kiu hiyo.

Wengine huharakisha kununua soda “Bariiiidi!” hasa wale wanaokuwa kwenye mizunguko yao wakifikiri kuwa kinywaji hicho kitakata kiu waliyo nayo. Kama wewe huwa unakunywa soda unaposikia kiu, unachofanya hakishauriwi kiafya.  

Wataalamu wanashauri mtu kutumia maji ya kunywa pale anaposikia kiu badala ya kimiminika kingine chochote kukata kiu kwa kuwa mtu anapokuwa katika hali hiyo ni kiashiria kuwa mwili una unahitaji mkubwa wa maji na hivyo kitu pekee unachohitaji mwilini ni maji ya kunywa.


Zinazohusiana


Daktari wa mafunzo ya mazoezi tiba Dk Joshua Sultan ameiambia Nukta kuwa mtu hujisikia kiu baada ya mwili kuishiwa maji mwilini na hivyo kuhitaji maji tu badala ya  kimiminika chochote kilichotiwa nakshi kama soda au juisi. 

Kufahamu zaidi kuhusu kiu na namna ya kukabiliana nayo, tazama video hiii.

                           

/
No matches found for this filter
31 May, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
31 May, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
31 May, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
AKILI UNDE INAVYOIMARISHA HUDUMA ZA AFYA YA KINYWA NA MENO

AKILI UNDE INAVYOIMARISHA HUDUMA ZA AFYA YA KINYWA NA MENO

Nukta TV

WAFAHAMU 'THE BIG FIVE' WA AFRIKA

WAFAHAMU 'THE BIG FIVE' WA AFRIKA

Nukta TV

HIVI NDIVYO UNAWEZA KUSAFISHA MENO YAKO

HIVI NDIVYO UNAWEZA KUSAFISHA MENO YAKO

Nukta TV