VIDEO: Mambo ya kuzingatia unaponunua sabuni ya kuogea

January 18, 2021 12:34 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kupendelea kutumia sabuni zilizotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia.
  • Pia kuwa makini wakati unaponunua kwa kufahamu unahitaji sabuni kwa ajili ya kazi gani.

Dar es Salaam. Kwa baadhi, manunuzi ya sabuni hutegemea na fedha waliyonayo, rangi ya ngozi na harufu zinazowavutia.

Hata hivyo, wengi wanashindwa kufahamu kuwa sabuni unayotumia kuogea huwa na muingiliano mkubwa na ngozi yako ya ndani. Na ndiyo maana zipo sabuni za kuchubua ngozi na za kutibu mba na magonjwa ya ngozi.

Kwa mujibu wa chapisho (magazine) la Nora Gouma manunuzi ya sabuni yanatakiwa kupewa kipaumbele kama uchaguzi wa mafuta, uchaguzi wa chakula na mengineyo.

Hivyo unaponunua sabuni, nenda mbali zaidi ya harufu na muonekano bali zingatia malighafi yanayotumika kuitengeneza, harufu na mengineyo katika video hii:

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
24 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
24 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Ukweli kuhusu Mama Fatma Karume, mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar

Ukweli kuhusu Mama Fatma Karume, mwanamke aliyeshika kiganja cha historia ya Zanzibar

Nukta TV

Tanzania yasisitiza amani na suluhu Mashariki ya Kati, kikao cha 81 cha UN

Tanzania yasisitiza amani na suluhu Mashariki ya Kati, kikao cha 81 cha UN

Nukta TV

Rais Mwinyi: Wananchi wanataka viongozi walete maendeleo, si malumbano ya kisiasa

Rais Mwinyi: Wananchi wanataka viongozi walete maendeleo, si malumbano ya kisiasa

Nukta TV