Necta yatangaza matokeo kidato cha sita 2023

July 13, 2023 9:27 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2023 huku ufaulu ukiongezeka kidogo kwa asilimia 0.03 kutoka ule wa mwaka 2022.

Kupata matokeo bonyeza hapa 

 Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi.

Enable Notifications OK No thanks