Mkaa, samani vyachangia kupandisha mfumuko wa bei Tanzania

Waongezeka hadi asilimia 3.1 kutoka asilimia 3 iliyokuwepo Machi. Ni kutokana na kuongezeka kwa mfumuko wa bei wa bidhaa zisizo za chakula. Hili ni ongezeko kubwa la kwanza kurekodiwa baada ya miezi minne

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni leo Mei 8, 2024

Viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya shilingi ya Tanzania vinavyotumika leo Mei 8, 2024

BOA Bank Tanzania yateua bosi mpya mwanamke

Ni Esther Maruma ambaye anaongeza idadi ya viongozi wanawake katika sekta ya benki nchini Atarajiwa kuongeza faida na wateja katika benki hiyo iliyokuwa na matawi 19 mwaka 2022

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni leo Mei 7, 2024

Viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya shilingi ya Tanzania vinavyotumika leo Mei 7, 2024

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni leo Mei 6, 2024

Viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni dhidi ya shilingi ya Tanzania vinavyotumika leo Mei 6, 2024